Yobu 14:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Maana mti ukikatwa lipo tumaini la kuota, waweza kuchipua tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Maana mti ukikatwa lipo tumaini la kuota, waweza kuchipua tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Maana mti ukikatwa lipo tumaini la kuota, waweza kuchipua tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. Tazama sura |