Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 14:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Wewe wamshinda nguvu sikuzote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumtuma aende mbali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa.

Tazama sura Nakili




Yobu 14:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akifa, je! Atakuwa hai tena? Mimi ningengoja siku zote za huduma yangu, Hadi kufunguliwa kwangu kunifikie.


Basi walipoinua macho yao, wakiwa bado kwa mbali, wasimtambue, wakainua sauti zao na kulia; kila mmoja akararua joho lake, wakarusha mavumbi juu ya vichwa vyao kuelekea mbinguni.


Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?


Maana hapo ningelala na kutulia; Ningelala usingizi; na kupata kupumzika;


Kati ya asubuhi na jioni huvunjwa-vunjwa; Waangamia milele wala hapana atiaye moyoni.


Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho; Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa; Wala hakuna kuponyoka katika vita vile; Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.


Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo