Yobu 14:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Wewe ungeita, nami ningekujibu; Ungekuwa na tamaa ya kazi ya mikono yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hapo ungeniita, nami ningeitika, wakati ungetaka kuniona mimi kiumbe chako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hapo ungeniita, nami ningeitika, wakati ungetaka kuniona mimi kiumbe chako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hapo ungeniita, nami ningeitika, wakati ungetaka kuniona mimi kiumbe chako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Utaniita nami nitakuitika; utakionea shauku kiumbe ambacho mikono yako ilikiumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Utaniita nami nitakuitika; utakionea shauku kiumbe ambacho mikono yako ilikiumba. Tazama sura |