Yobu 14:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 “Kama vile maji yakaukavyo ziwani, na mto unavyokoma kutiririka, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 “Kama vile maji yakaukavyo ziwani, na mto unavyokoma kutiririka, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 “Kama vile maji yakaukavyo ziwani, na mto unavyokoma kutiririka, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kama vile maji yanavyotoweka katika bahari, au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kama vile maji yatowekavyo katika bahari, au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, Tazama sura |