Yobu 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Laiti mngenyamaza kabisa! Hilo lingekuwa hekima kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Laiti mngekaa kimya kabisa, ikafikiriwa kwamba mna hekima! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Laiti mngekaa kimya kabisa, ikafikiriwa kwamba mna hekima! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Laiti mngekaa kimya kabisa, ikafikiriwa kwamba mna hekima! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Laiti wote mngenyamaza! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Laiti wote mngenyamaza kimya! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. Tazama sura |