Yobu 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini ninyi hubuni maneno ya uongo, Ninyi nyote ni matabibu wasiofaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini nyinyi mnaupakaa uongo chokaa; nyinyi nyote ni waganga wasiofaa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini nyinyi mnaupakaa uongo chokaa; nyinyi nyote ni waganga wasiofaa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini nyinyi mnaupakaa uongo chokaa; nyinyi nyote ni waganga wasiofaa kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! Tazama sura |