Yobu 13:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Kwani umeandika maneno ya uchungu juu yangu, Na kunirithisha maovu ya ujana wangu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wewe umetoa mashtaka makali dhidi yangu, na kunibebesha dhambi za ujana wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wewe umetoa mashtaka makali dhidi yangu, na kunibebesha dhambi za ujana wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wewe umetoa mashtaka makali dhidi yangu, na kunibebesha dhambi za ujana wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. Tazama sura |