Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 13:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ondoa mkono wako uwe mbali nami, uache kuniogofya kwa vitisho vyako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ondoa mkono wako uwe mbali nami, nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu.

Tazama sura Nakili




Yobu 13:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate angaa kutulizwa moyo kidogo.


Je! Huo ukuu wake hautawatia hofu, Na utisho wake hautawaangukia?


Lakini msinifanyie mambo mawili, hayo tu, Ndipo nami sitajificha usoni pako;


Tazama, utisho wangu hautakutia hofu wewe, Wala sitakulemea kwa uzito.


Na aniondolee fimbo yake, Na utisho wake usinitie hofu;


Mwili wangu unatetemeka kwa kukucha Wewe, Nami ninaziogopa hukumu zako.


Uniondolee pigo lako; Kwa mapigo ya mkono wako nimeangamia.


Lakini niliuzuia mkono wangu, nikatenda kwa ajili ya jina langu, lisitiwe unajisi mbele ya macho ya mataifa, ambao mbele ya macho yao niliwatoa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo