Yobu 13:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Nyamazeni, niacheni, ili nipate kunena, Na hayo yatakayonijia na yaje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Nyamazeni, nami niongee. Yanipate yatakayonipata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Nyamazeni, nami niongee. Yanipate yatakayonipata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Nyamazeni, nami niongee. Yanipate yatakayonipata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Nyamazeni kimya nipate kusema; kisha na yanipate yatakayonipata. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Nyamazeni kimya nipate kusema; kisha na yanipate yatakayonipata. Tazama sura |