Yobu 13:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Je! Huo ukuu wake hautawatia hofu, Na utisho wake hautawaangukia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Je, fahari yake haiwatishi? Je, hampatwi na hofu juu yake? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Je, fahari yake haiwatishi? Je, hampatwi na hofu juu yake? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Je, fahari yake haiwatishi? Je, hampatwi na hofu juu yake? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi? Je, hofu yake isingewaangukia ninyi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi? Je, hofu yake isingewaangukia ninyi? Tazama sura |