Yobu 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuyaelewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 “Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 “Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa. Tazama sura |