Yobu 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Au nena na nchi, nayo itakufundisha; Nao samaki wa baharini watakutangazia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Au iulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Au iulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Au iulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. Tazama sura |