Yobu 12:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yeye huwaondoa washauri wakiwa wamevuliwa nguo, Naye huwafanya waamuzi kuwa ni wapumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Huwaacha washauri waende zao uchi, huwafanya waamuzi kuwa wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Huwaacha washauri waende zao uchi, huwafanya waamuzi kuwa wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Huwaacha washauri waende zao uchi, huwafanya waamuzi kuwa wapumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. Tazama sura |