Yobu 12:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kwake yeye ziko nguvu, na hekima; Huyo adanganywaye, na mdanganyi pia ni wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Yeye ana nguvu na hekima; wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Yeye ana nguvu na hekima; wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Yeye ana nguvu na hekima; wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwake kuna nguvu na ushindi; anayedanganywa na anayedanganya, wote wawili ni wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwake kuna nguvu na ushindi; adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. Tazama sura |