Yobu 12:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Tazama, yuayazuia maji, nayo yakatika; Tena, huyatuma, nayo yaipindua dunia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Akizuia mvua, twapata ukame; akiifungulia, nchi hupata mafuriko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Akizuia mvua, twapata ukame; akiifungulia, nchi hupata mafuriko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Akizuia mvua, twapata ukame; akiifungulia, nchi hupata mafuriko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Akizuia maji, huwa pana ukame; akiyaachia maji, huharibu nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Akizuia maji, huwa pana ukame; akiyaachia maji, huharibu nchi. Tazama sura |