Yobu 11:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Lakini macho ya waovu yataingia kiwi, Nao hawatakuwa na njia ya kukimbilia, Na matumaini yao yatakuwa ni kutoa roho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Lakini waovu macho yao yatafifia, njia zote za kutorokea zitawapotea; tumaini lao la mwisho ni kukata roho!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Lakini waovu macho yao yatafifia, njia zote za kutorokea zitawapotea; tumaini lao la mwisho ni kukata roho!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Lakini waovu macho yao yatafifia, njia zote za kutorokea zitawapotea; tumaini lao la mwisho ni kukata roho!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Bali macho ya waovu hayataona, wokovu utawaepuka; tarajio lao litakuwa ni hangaiko la mtu anayekata roho.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Bali macho ya waovu hayataona, wokovu utawaepuka; tarajio lao litakuwa ni hangaiko la mtu anayekata roho.” Tazama sura |