Yobu 11:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Wewe ukiuweka moyo wako kwa uelekevu, Na kumnyoshea mikono yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Yobu, ukiufanya moyo wako mnyofu, utainua mikono yako kumwomba Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Yobu, ukiufanya moyo wako mnyofu, utainua mikono yako kumwomba Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Yobu, ukiufanya moyo wako mnyofu, utainua mikono yako kumwomba Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake na kumwinulia mikono yako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake na kumwinulia mikono yako, Tazama sura |