Yobu 11:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda mwitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. Tazama sura |