Yobu 11:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kwa kuwa yeye awajua watu baradhuli; Anapouona uovu, je; hatauangalia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mungu anajua watu wasiofaa; akiona maovu yeye huchukua hatua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mungu anajua watu wasiofaa; akiona maovu yeye huchukua hatua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mungu anajua watu wasiofaa; akiona maovu yeye huchukua hatua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hakika anawatambua watu wadanganyifu; naye aonapo uovu, je, haangalii? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hakika anawatambua watu wadanganyifu; naye aonapo uovu, je, haangalii? Tazama sura |