Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 10:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate angaa kutulizwa moyo kidogo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Je, siku za maisha yangu si chache? Niachie nipate faraja kidogo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Je, siku za maisha yangu si chache? Niachie nipate faraja kidogo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Je, siku za maisha yangu si chache? Niachie nipate faraja kidogo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Je, siku zangu chache si zimekaribia kwisha? Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi

Tazama sura Nakili




Yobu 10:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ningalikuwa kama mtu asiyekuwapo; Ningalichukuliwa kaburini kutoka tumboni.


Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu.


Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.


(Kwani sisi tu wa jana tu, wala hatujui neno, Kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli tu;)


Haniachi nipate kuvuta pumzi, Lakini hunijaza uchungu.


Uache kunitazama, ndio nipate kufurahi tena, Kabla sijafa na kutoweka kabisa.


Tazama, umefanya siku zangu kuwa mashubiri; Maisha yangu ni kama si kitu mbele zako. Kila mwanadamu, ingawa amesitawi, ni ubatili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo