Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 10:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Ningalikuwa kama mtu asiyekuwapo; Ningalichukuliwa kaburini kutoka tumboni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Ningepelekwa moja kwa moja kaburini, nikawa kama mtu asiyepata kuwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Ningepelekwa moja kwa moja kaburini, nikawa kama mtu asiyepata kuwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Ningepelekwa moja kwa moja kaburini, nikawa kama mtu asiyepata kuwako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Laiti nisingezaliwa, au kama ningepelekwa kaburini moja kwa moja kutoka tumboni!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Laiti nisingekuwako kamwe, au ningekuwa nimechukuliwa moja kwa moja kutoka tumboni kwenda kaburini!

Tazama sura Nakili




Yobu 10:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa nini basi kunitoa tumboni? Ningekata roho, lisinione jicho lolote.


Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate angaa kutulizwa moyo kidogo.


Maana sikufadhaishwa kwa sababu ya giza, Wala kwa sababu giza kuu limenifunika uso.


Mbona mimi sikufa wakati nikizaliwa? Mbona nisitoe roho hapo nilipotoka tumboni?


Au, mbona kuzikwa kama mimba iliyoharibika, nisingekuwako; Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa.


Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua,


kwa sababu hakuniua nilipotoka tumboni, na hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, na mimba yake sikuzote nzito.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo