Yobu 1:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Akasema, “Uchi nilikuja duniani, uchi nitaondoka duniani; Mwenyezi-Mungu amenipa, Mwenyezi-Mungu amechukua; litukuzwe jina lake Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Akasema, “Uchi nilikuja duniani, uchi nitaondoka duniani; Mwenyezi-Mungu amenipa, Mwenyezi-Mungu amechukua; litukuzwe jina lake Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Akasema, “Uchi nilikuja duniani, uchi nitaondoka duniani; Mwenyezi-Mungu amenipa, Mwenyezi-Mungu amechukua; litukuzwe jina lake Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 akasema: “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, nami nitaondoka uchi, Mwenyezi Mungu alinipa, naye Mwenyezi Mungu ameviondoa; jina la Mwenyezi Mungu litukuzwe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 na kusema: “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, nami nitaondoka uchi, bwana alinipa, naye bwana ameviondoa, jina la bwana litukuzwe.” Tazama sura |