Yeremia 8:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, wamelikataa neno la BWANA, wana akili gani ndani yao? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wenye hekima wataaibika, watafadhaika na kunaswa. Kwa kuwa wamelikataa neno la Mwenyezi Mungu, hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wenye hekima wataaibika, watafadhaika na kunaswa. Kwa kuwa wamelikataa neno la bwana, hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? Tazama sura |