Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Mwasemaje, Sisi tuna akili, na Torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Mnawezaje kusema: ‘Sisi tuna hekima, sisi tunayo sheria ya Mwenyezi-Mungu,’ hali waandishi wa sheria, wameipotosha sheria yangu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Mnawezaje kusema: ‘Sisi tuna hekima, sisi tunayo sheria ya Mwenyezi-Mungu,’ hali waandishi wa sheria, wameipotosha sheria yangu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Mnawezaje kusema: ‘Sisi tuna hekima, sisi tunayo sheria ya Mwenyezi-Mungu,’ hali waandishi wa sheria, wameipotosha sheria yangu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara kwa sababu tunayo Torati ya Mwenyezi Mungu,” wakati kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi imeandika kwa udanganyifu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara kwa sababu tunayo Torati ya bwana,” wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi imeandika kwa udanganyifu?

Tazama sura Nakili




Yeremia 8:8
18 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda mwitu.


Huondoa usemi wa hao walioaminiwa, Na kuondoa fahamu za wazee.


Hulitangaza neno lake kwa Yakobo, Na amri zake na hukumu zake kwa Israeli.


Wana wa wana ndio taji la wazee, Na utukufu wa watoto ni baba zao.


Baba yako wa kwanza alifanya dhambi, na wakalimani wako wameniasi.


Hapo ndipo waliposema, Njooni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno halitampotea nabii. Njooni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yoyote.


Nami nitalitangua shauri la Yuda na Yerusalemu mahali hapa; nami nitawaangusha kwa upanga mbele za adui zao, na kwa mkono wa watu watafutao roho zao; na mizoga yao nitawapa ndege wa angani na wanyama wakali wa nchi, iwe chakula chao.


Makuhani hawakusema, Yuko wapi BWANA? Wala wanasheria hawakunijua; wachungaji nao waliniasi, nao manabii walitoa unabii kwa Baali, wakafuata mambo yasiyofaidia kitu.


Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa.


Mwasemaje ninyi, Sisi tu mashujaa, watu hodari wa vita.


Nijapomwandikia sheria yangu katika amri makumi elfu, zimehesabiwa kuwa ni kitu kigeni.


basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.


Yesu akawaambia, Kama mngekuwa vipofu, msingekuwa na dhambi; lakini kwa kuwa sasa mwasema, Twaona; basi dhambi yenu inakaa.


Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo