Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 51:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

52 Kwa sababu hiyo siku zinakuja, asema BWANA, nitakapozihukumu sanamu zake; na katika nchi yake yote waliojeruhiwa wataomboleza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

52 “Kwa hiyo, wakati unakuja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, ambapo nitaviadhibu vinyago vya Babuloni, na majeruhi watapiga kite katika nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

52 “Kwa hiyo, wakati unakuja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, ambapo nitaviadhibu vinyago vya Babuloni, na majeruhi watapiga kite katika nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

52 “Kwa hiyo, wakati unakuja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, ambapo nitaviadhibu vinyago vya Babuloni, na majeruhi watapiga kite katika nchi yake yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

52 “Lakini siku zinakuja,” asema Mwenyezi Mungu, “nitakapoziadhibu sanamu zake, na katika nchi yake yote waliojeruhiwa watalia kwa maumivu makali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

52 “Lakini siku zinakuja,” asema bwana, “nitakapoadhibu sanamu zake, na katika nchi yake yote waliojeruhiwa watalia kwa maumivu makali.

Tazama sura Nakili




Yeremia 51:52
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ukosefu wa mvua uko juu ya maji yake, nayo yatakaushwa; maana ni nchi ya sanamu za kuchongwa, nao wameingiwa na wazimu kwa ajili ya sanamu.


Basi angalia, siku zitakuja, ambazo katika siku hizo, nitafanya hukumu juu ya sanamu za Babeli, na nchi yake yote itatahayarika; na watu wake wote waliouawa wataanguka katikati yake.


Maana nitampelekea tauni, na damu, katika njia kuu zake, na hao waliotiwa jeraha wataanguka kati yake, kwa upanga juu yake pande zote; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.


Nami nitaitia nguvu mikono ya mfalme wa Babeli, na kuutia upanga wangu katika mkono wake, bali mikono ya Farao nitaivunja, naye ataugua mbele yake, kwa mauguzi ya mtu aliyetiwa jeraha la kumwua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo