Yeremia 51:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Ndipo mbingu, na nchi, na vitu vyote vilivyomo, vitaimba kwa furaha juu ya Babeli; kwa maana watu waangamizao watamjia kutoka kaskazini, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Kisha mbingu, dunia na vyote vilivyomo vitaimba kwa furaha kuhusu kuanguka kwa Babuloni, waangamizi watakapofika kutoka kaskazini kuushambulia. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Kisha mbingu, dunia na vyote vilivyomo vitaimba kwa furaha kuhusu kuanguka kwa Babuloni, waangamizi watakapofika kutoka kaskazini kuushambulia. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Kisha mbingu, dunia na vyote vilivyomo vitaimba kwa furaha kuhusu kuanguka kwa Babuloni, waangamizi watakapofika kutoka kaskazini kuushambulia. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Ndipo mbingu na dunia na vyote vilivyomo vitapiga kelele za shangwe juu ya Babeli, kwa kuwa kutoka kaskazini waangamizi watamshambulia,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Ndipo mbingu na dunia na vyote vilivyomo ndani yake vitapiga kelele za shangwe juu ya Babeli, kwa kuwa kutoka kaskazini waharabu watamshambulia,” asema bwana. Tazama sura |