Yeremia 51:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Miji yake imekuwa maganjo; Nchi ya ukame, na jangwa; Nchi asimokaa mtu yeyote, Wala hapiti mwanadamu huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Miji yake imekuwa kinyaa, nchi ya ukavu na jangwa, nchi isiyokaliwa na mtu yeyote, wala kupitika na binadamu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Miji yake imekuwa kinyaa, nchi ya ukavu na jangwa, nchi isiyokaliwa na mtu yeyote, wala kupitika na binadamu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Miji yake imekuwa kinyaa, nchi ya ukavu na jangwa, nchi isiyokaliwa na mtu yeyote, wala kupitika na binadamu yeyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Miji yake itakuwa ukiwa, kame na jangwa, nchi isiyokuwa na mtu anayeishi ndani yake, ambayo hakuna mwanadamu atakayepita humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Miji yake itakuwa ukiwa, kame na jangwa, nchi ambayo hakuna yeyote anayeishi ndani yake, ambayo hakuna mtu anayepita humo. Tazama sura |