Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 51:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

40 Nitawateremsha kama wana-kondoo machinjoni, kama kondoo dume pamoja na mabeberu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 “Nitawateremsha kama wana-kondoo wanaoenda machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 “Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi.

Tazama sura Nakili




Yeremia 51:40
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao BWANA watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.


Hasha! Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; Tunafanywa kama kondoo waendao kuchinjwa.


Upanga wa BWANA umeshiba damu, umejazwa mafuta, kwa damu ya wana-kondoo na mbuzi, kwa mafuta ya figo za kondoo dume; maana BWANA ana dhabihu huko Bozra, machinjo makubwa katika nchi ya Edomu.


Moabu ameharibika, na moshi wa miji yake umepanda; na vijana wake wateule wameteremka kwenda kuchinjwa, asema Mfalme, ambaye jina lake ni BWANA wa majeshi.


Wachinjeni mafahali wake wote; Na wateremkie machinjoni; Ole wao! Maana siku yao imewadia, Wakati wa kujiliwa kwao.


Mtakula nyama yao walio hodari, na kunywa damu ya wakuu wa dunia, ya kondoo dume na ya wana-kondoo, na ya mbuzi, na ya ng'ombe, wote na wanono wa Bashani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo