Yeremia 51:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nao wataanguka, wakiwa wameuawa, katika nchi ya Wakaldayo, wakiwa wametumbuliwa katika njia zake kuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wataanguka na kuuawa katika nchi ya Wakaldayo, watajeruhiwa katika barabara zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wataanguka na kuuawa katika nchi ya Wakaldayo, watajeruhiwa katika barabara zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wataanguka na kuuawa katika nchi ya Wakaldayo, watajeruhiwa katika barabara zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wataanguka barabarani waliouawa katika nchi ya Wakaldayo, wakiwa na majeraha ya kutisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wataanguka waliouawa katika Babeli, wakiwa na majeraha ya kutisha barabarani zake. Tazama sura |