Yeremia 51:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Wakiingiwa na ukali, nitawafanyia karamu yao, nami nitawalevya, wapate kufurahi, na kulala usingizi wa milele, wasiamke tena, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Wakiwa na uchu mkubwa nitawaandalia karamu: Nitawalewesha mpaka wapepesuke; nao watalala usingizi wa daima na hawataamka tena. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Wakiwa na uchu mkubwa nitawaandalia karamu: Nitawalewesha mpaka wapepesuke; nao watalala usingizi wa daima na hawataamka tena. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Wakiwa na uchu mkubwa nitawaandalia karamu: nitawalewesha mpaka wapepesuke; nao watalala usingizi wa daima na hawataamka tena. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Lakini wakiwa wameamshwa, nitawaandalia karamu na kuwafanya walewe, ili washangilie kwa kicheko, kisha walale milele na wasiamke,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Lakini wakati wakiwa wameamshwa, nitawaandalia karamu na kuwafanya walewe, ili wapige kelele kwa kicheko, kisha walale milele na wasiamke,” asema bwana. Tazama sura |