Yeremia 51:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Navyo vivuko vimeshambuliwa, Nayo makangaga wameyatia moto, Nao watu wa vita wameingiwa na hofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Vivuko vya mto vimetekwa, ngome zimechomwa moto, askari wamekumbwa na hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Vivuko vya mto vimetekwa, ngome zimechomwa moto, askari wamekumbwa na hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Vivuko vya mto vimetekwa, ngome zimechomwa moto, askari wamekumbwa na hofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Vivuko vya mito vimekamatwa, mabwawa yenye mafunjo yametiwa moto, nao askari wameingiwa na hofu kuu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Vivuko vya mito vimekamatwa, mabwawa yenye mafunjo yametiwa moto, nao askari wameingiwa na hofu kuu.” Tazama sura |