Yeremia 51:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 na kwa wewe nitawavunjavunja mwanamume na mwanamke; na kwa wewe nitawavunjavunja mzee na mtoto; na kwa wewe nitawavunjavunja kijana mwanamume na kijana mwanamke; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Ninakutumia kuwaponda wanaume na wanawake, wazee na vijana, wavulana na wasichana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Ninakutumia kuwaponda wanaume na wanawake, wazee na vijana, wavulana na wasichana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Ninakutumia kuwaponda wanaume na wanawake, wazee na vijana, wavulana na wasichana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 kwa wewe napondaponda mwanaume na mwanamke, kwa wewe napondaponda mzee na kijana, kwa wewe napondaponda kijana wa kiume na mwanamwali, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 kwa wewe napondaponda mwanaume na mwanamke, kwa wewe napondaponda mzee na kijana, kwa wewe napondaponda kijana wa kiume na mwanamwali, Tazama sura |