Yeremia 51:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Inoeni hiyo mishale; zishikeni ngao kwa nguvu; BWANA ameziamsha roho za wafalme wa Wamedi; kwa sababu shauri lake ni juu ya Babeli auangamize; maana ni kisasi cha BWANA, kisasi cha hekalu lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwenyezi-Mungu amezichochea roho za wafalme wa Media, kwa maana amenuia kuiangamiza Babuloni. Naam, hicho ndicho kisasi cha Mwenyezi-Mungu; analipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake. Noeni mishale yenu! Chukueni ngao! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwenyezi-Mungu amezichochea roho za wafalme wa Media, kwa maana amenuia kuiangamiza Babuloni. Naam, hicho ndicho kisasi cha Mwenyezi-Mungu; analipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake. Noeni mishale yenu! Chukueni ngao! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwenyezi-Mungu amezichochea roho za wafalme wa Media, kwa maana amenuia kuiangamiza Babuloni. Naam, hicho ndicho kisasi cha Mwenyezi-Mungu; analipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake. Noeni mishale yenu! chukueni ngao! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 “Noeni mishale, chukueni ngao! Mwenyezi Mungu amewaamsha wafalme wa Wamedi, kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. Mwenyezi Mungu atalipiza kisasi, kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 “Noeni mishale, chukueni ngao! bwana amewaamsha wafalme wa Wamedi, kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. bwana atalipiza kisasi, kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. Tazama sura |