Yeremia 51:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 BWANA ameitokeza haki yetu; Njooni, tutangaze katika Sayuni Habari za kazi ya BWANA, Mungu wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia. Twendeni Siyoni tukatangaze matendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia. Twendeni Siyoni tukatangaze matendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia. Twendeni Siyoni tukatangaze matendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “ ‘Mwenyezi Mungu amethibitisha haki yetu; njooni, tutangaze katika Sayuni kitu ambacho Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, amefanya.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “ ‘bwana amethibitisha haki yetu; njooni, tutangaze katika Sayuni kitu ambacho bwana Mwenyezi Mungu wetu amefanya.’ Tazama sura |