Yeremia 50:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kimbieni kutoka kati ya Babeli, mkatoke katika nchi ya Wakaldayo, mkawe kama mabeberu mbele ya makundi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Kimbieni kutoka Babuloni! Tokeni nje ya nchi ya Wakaldayo, muwe kama mabeberu mbele ya kundi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Kimbieni kutoka Babuloni! Tokeni nje ya nchi ya Wakaldayo, muwe kama mabeberu mbele ya kundi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Kimbieni kutoka Babuloni! Tokeni nje ya nchi ya Wakaldayo, muwe kama mabeberu mbele ya kundi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Kimbieni kutoka Babeli; ondokeni katika nchi ya Wakaldayo, kuweni kama mbuzi wale waongozao kundi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Kimbieni kutoka Babeli; ondokeni katika nchi ya Wakaldayo tena kuweni kama mbuzi wale waongozao kundi. Tazama sura |