Yeremia 50:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Watu wote waliowaona wamewala; na adui zao walisema, Sisi hatuna hatia, kwa kuwa hao wametenda dhambi juu ya BWANA, aliye kao la haki, yaani, BWANA, tumaini la baba zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Watu wote waliowakuta waliwaua, na maadui zao wamesema, ‘Hatuna hatia sisi’, maana hao wamemkosea Mwenyezi-Mungu aliye malisho yao ya kweli; Mwenyezi-Mungu ambaye ni tegemeo la wazee wao! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Watu wote waliowakuta waliwaua, na maadui zao wamesema, ‘Hatuna hatia sisi’, maana hao wamemkosea Mwenyezi-Mungu aliye malisho yao ya kweli; Mwenyezi-Mungu ambaye ni tegemeo la wazee wao! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Watu wote waliowakuta waliwaua, na maadui zao wamesema, ‘Hatuna hatia sisi’, maana hao wamemkosea Mwenyezi-Mungu aliye malisho yao ya kweli; Mwenyezi-Mungu ambaye ni tegemeo la wazee wao! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Yeyote aliyewakuta aliwala; adui zao walisema, ‘Sisi hatuna hatia, kwa kuwa wao walitenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu, malisho yao halisi, Mwenyezi Mungu, aliye tumaini la baba zao.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Yeyote aliyewakuta aliwala; adui zao walisema, ‘Sisi hatuna hatia, kwa kuwa wao walitenda dhambi dhidi ya bwana, malisho yao halisi, bwana, aliye tumaini la baba zao.’ Tazama sura |