Yeremia 50:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Watauliza njia ya kwenda Sayuni, na nyuso zao zitaelekea huko, wakisema, Njooni ninyi, mjiunge na BWANA, kwa agano la milele ambalo halitasahauliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Watauliza njia ya kwenda Siyoni, huku nyuso zao zimeelekea huko, wakisema, ‘Njoni!’ Nao watajiunga na Mwenyezi-Mungu katika agano la milele ambalo kamwe halitasahauliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Watauliza njia ya kwenda Siyoni, huku nyuso zao zimeelekea huko, wakisema, ‘Njoni!’ Nao watajiunga na Mwenyezi-Mungu katika agano la milele ambalo kamwe halitasahauliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Watauliza njia ya kwenda Siyoni, huku nyuso zao zimeelekea huko, wakisema, ‘Njoni!’ Nao watajiunga na Mwenyezi-Mungu katika agano la milele ambalo kamwe halitasahauliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wataulizia njia iendayo Sayuni na kuelekeza nyuso zao huko. Watakuja na kuambatana na Mwenyezi Mungu katika agano la milele ambalo halitasahaulika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wataiuliza njia iendayo Sayuni na kuelekeza nyuso zao huko. Watakuja na kuambatana na bwana katika agano la milele ambalo halitasahaulika. Tazama sura |