Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 50:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

43 Mfalme wa Babeli amesikia habari zao, Na mikono yake imekuwa dhaifu; Dhiki imemshika, na maumivu, Kama ya mwanamke akiwa katika uchungu wa kujifungua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Mfalme wa Babuloni amesikia habari zao, nayo mikono yake ikawa kama kamba. Ameshikwa na dhiki na uchungu kama mama anayejifungua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Mfalme wa Babuloni amesikia habari zao, nayo mikono yake ikawa kama kamba. Ameshikwa na dhiki na uchungu kama mama anayejifungua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Mfalme wa Babuloni amesikia habari zao, nayo mikono yake ikawa kama kamba. Ameshikwa na dhiki na uchungu kama mama anayejifungua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Mfalme wa Babeli amesikia habari kuwahusu, nayo mikono yake imelegea. Uchungu umemshika, maumivu kama ya mwanamke katika uchungu wa kuzaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Mfalme wa Babeli amesikia habari kuwahusu, nayo mikono yake imelegea. Uchungu umemshika, maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa.

Tazama sura Nakili




Yeremia 50:43
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ulizeni sasa, mkaone kwamba mwanamume aona uchungu wa uzazi; mbona, basi, ninaona kila mtu anaweka mikono yake viunoni, kama mwanamke aliye na uchungu, na nyuso zote zimegeuka rangi?


Tazama, atapanda na kuruka kama tai, na kutandaza mabawa yake juu ya Bozra; na mioyo ya mashujaa wa Edomu siku hiyo itakuwa kama moyo wa mwanamke akiwa katika uchungu wa kujifungua.


Dameski umedhoofika; Umejigeuza kukimbia; tetemeko limeushika; Dhiki na huzuni zimeupata, Kama za mwanamke katika uchungu wake.


Tarishi mmoja atapiga mbio kumlaki mwingine, Na mjumbe mmoja atapiga mbio kumlaki mwenziwe, Ili kumpasha habari mfalme wa Babeli, Ya kuwa mji wake umetwaliwa kila upande.


Tumesikia habari zake; mikono yetu inalegea; dhiki imetushika, na uchungu kama wa mwanamke wakati wa kuzaa kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo