Yeremia 50:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Katika siku hizo, na wakati huo, asema BWANA, wana wa Israeli watakuja, wao na wana wa Yuda pamoja; Wataendelea njiani mwao wakilia, nao watamtafuta BWANA, Mungu wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Siku hizo na wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, watu wa Israeli na watu wa Yuda watakusanyika pamoja na kurudi wakilia huku wananitafuta mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Siku hizo na wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, watu wa Israeli na watu wa Yuda watakusanyika pamoja na kurudi wakilia huku wananitafuta mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Siku hizo na wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, watu wa Israeli na watu wa Yuda watakusanyika pamoja na kurudi wakilia huku wananitafuta mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Katika siku hizo, wakati huo,” asema Mwenyezi Mungu, “watu wa Israeli pamoja na watu wa Yuda wataenda wakilia ili kumtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Katika siku hizo, wakati huo,” asema bwana, “watu wa Israeli pamoja na watu wa Yuda wataenda wakilia ili kumtafuta bwana Mwenyezi Mungu wao. Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.