Yeremia 50:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Ukosefu wa mvua uko juu ya maji yake, nayo yatakaushwa; maana ni nchi ya sanamu za kuchongwa, nao wameingiwa na wazimu kwa ajili ya sanamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Ukame uyapate maji ili yapate kukauka! Maana Babuloni ni nchi ya sanamu za miungu, watu ni wendawazimu juu ya vinyago vyao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Ukame uyapate maji ili yapate kukauka! Maana Babuloni ni nchi ya sanamu za miungu, watu ni wendawazimu juu ya vinyago vyao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Ukame uyapate maji ili yapate kukauka! Maana Babuloni ni nchi ya sanamu za miungu, watu ni wendawazimu juu ya vinyago vyao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Ukame juu ya maji yake! Nayo yatakauka. Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, wao wanaenda wazimu kwa ajili ya sanamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Ukame juu ya maji yake! Nayo yatakauka. Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, wao wanaenda wazimu kwa ajili ya sanamu. Tazama sura |