Yeremia 50:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Upanga uko juu ya farasi wao, na juu ya magari yao ya vita; na juu ya watu wote waliochanganyika ndani yake, nao watakuwa kama wanawake; upanga u juu ya hazina zake, nazo zitaibwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Kifo kwa farasi wake na uharibifu kwa magari yake, kifo kwa majeshi yake yote ya kukodiwa, ili wawe na woga kama wanawake! Uharibifu kwa hazina zake zote ili zipate kuporwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Kifo kwa farasi wake na uharibifu kwa magari yake, kifo kwa majeshi yake yote ya kukodiwa, ili wawe na woga kama wanawake! Uharibifu kwa hazina zake zote ili zipate kuporwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Kifo kwa farasi wake na uharibifu kwa magari yake, kifo kwa majeshi yake yote ya kukodiwa, ili wawe na woga kama wanawake! Uharibifu kwa hazina zake zote ili zipate kuporwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Upanga dhidi ya farasi na magari yake ya vita pamoja na askari wake wote wa kigeni katika safu zake! Wao watakuwa kama wanawake. Upanga dhidi ya hazina zake! Hizo zitatekwa nyara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Upanga dhidi ya farasi na magari yake ya vita pamoja na askari wake wote wa kigeni katika safu zake! Wao watakuwa kama wanawake. Upanga dhidi ya hazina zake! Hizo zitatekwa nyara. Tazama sura |