Yeremia 50:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Upanga uko juu ya hao wajisifuo, nao watapumbazika; upanga uko juu ya mashujaa wake, nao watafadhaika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Kifo kwa waaguzi, wanachotangaza ni upumbavu tu! Kifo kwa mashujaa wake, ili waangamizwe! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Kifo kwa waaguzi, wanachotangaza ni upumbavu tu! Kifo kwa mashujaa wake, ili waangamizwe! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Kifo kwa waaguzi, wanachotangaza ni upumbavu tu! Kifo kwa mashujaa wake, ili waangamizwe! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Upanga dhidi ya manabii wake wa uongo! Watakuwa wapumbavu. Upanga dhidi ya mashujaa wake! Watajazwa na hofu kuu Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Upanga dhidi ya manabii wake wa uongo! Watakuwa wapumbavu. Upanga dhidi ya mashujaa wake! Watajazwa na hofu kuu Tazama sura |