Yeremia 50:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Mkombozi wao ni hodari; BWANA wa majeshi ndilo jina lake; yeye atawatetea kwa bidii, apate kuistarehesha nchi, na kuwasumbua wakaao katika Babeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Lakini mimi, Mkombozi wao ni mwenye nguvu. Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina langu. Hakika nitatetea kisa chao ili nilete amani katika nchi yao, lakini taabu kwa wakazi wa Babuloni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Lakini mimi, Mkombozi wao ni mwenye nguvu. Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina langu. Hakika nitatetea kisa chao ili nilete amani katika nchi yao, lakini taabu kwa wakazi wa Babuloni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Lakini mimi, Mkombozi wao ni mwenye nguvu. Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina langu. Hakika nitatetea kisa chao ili nilete amani katika nchi yao, lakini taabu kwa wakazi wa Babuloni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Lakini Mkombozi wao ana nguvu; Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake. Atatetea shauri lao kwa nguvu ili alete amani nchini mwao, lakini ataleta msukosuko kwa wale wanaoishi Babeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Lakini Mkombozi wao ana nguvu; bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. Atatetea kwa nguvu shauri lao ili alete raha katika nchi yao, lakini ataleta msukosuko kwa wale waishio Babeli. Tazama sura |