Yeremia 50:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Tazama, mimi ni juu yako, Ewe mwenye kiburi, asema Bwana, BWANA wa majeshi; maana siku yako imewadia, wakati nitakapokujia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, napigana nawe ewe mwenye kiburi, maana siku yako ya adhabu imefika, wakati nitakapokuadhibu umewadia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, napigana nawe ewe mwenye kiburi, maana siku yako ya adhabu imefika, wakati nitakapokuadhibu umewadia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, napigana nawe ewe mwenye kiburi, maana siku yako ya adhabu imefika, wakati nitakapokuadhibu umewadia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, “kwa kuwa siku yako imewadia, yaani wakati wako wa kuadhibiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” asema Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, “kwa kuwa siku yako imewadia, yaani, wakati wako wa kuadhibiwa. Tazama sura |