Yeremia 50:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Maana toka kaskazini taifa linakuja juu yake, litakaloifanya nchi yake kuwa ukiwa; wala hakuna mtu atakayekaa humo; wamekimbia, wamekwenda zao, mwanadamu na mnyama pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Kwa maana, taifa kutoka kaskazini limefika kuushambulia; litaifanya nchi yake kuwa uharibifu. Hakuna atakeyeishi humo; watu na wanyama watakimbia mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Kwa maana, taifa kutoka kaskazini limefika kuushambulia; litaifanya nchi yake kuwa uharibifu. Hakuna atakeyeishi humo; watu na wanyama watakimbia mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Kwa maana, taifa kutoka kaskazini limefika kuushambulia; litaifanya nchi yake kuwa uharibifu. Hakuna atakeyeishi humo; watu na wanyama watakimbia mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Taifa kutoka kaskazini litamshambulia, na kuifanya nchi yake ukiwa. Hakuna atakayeishi ndani yake, watu na wanyama wataikimbia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Taifa kutoka kaskazini litamshambulia, na kuifanya nchi yake ukiwa. Hakuna hata mmoja atakayeishi ndani yake, watu na wanyama wataikimbia. Tazama sura |