Yeremia 50:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Njooni juu yake toka mpaka ulio mbali; Zifungueni ghala zake; Mfanyeni kuwa magofu na kumharibu kabisa; Msimsazie kitu chochote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Njoni mkamshambulie kutoka kila upande; zifungueni ghala zake za chakula; mrundikieni marundo ya nafaka! Iangamizeni kabisa nchi hii; msibakize chochote! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Njoni mkamshambulie kutoka kila upande; zifungueni ghala zake za chakula; mrundikieni marundo ya nafaka! Iangamizeni kabisa nchi hii; msibakize chochote! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Njoni mkamshambulie kutoka kila upande; zifungueni ghala zake za chakula; mrundikieni marundo ya nafaka! Iangamizeni kabisa nchi hii; msibakize chochote! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Njooni dhidi yake kutoka mbali. Zifungueni ghala zake za nafaka; mlundikeni kama lundo la nafaka. Mwangamizeni kabisa na msimwachie mabaki yoyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Njooni dhidi yake kutoka mbali. Zifungueni ghala zake za nafaka; mlundikeni kama lundo la nafaka. Mwangamizeni kabisa na msimwachie mabaki yoyote. Tazama sura |