Yeremia 50:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Imekuwaje nyundo ya dunia yote Kukatiliwa mbali na kuvunjwa? Imekuwaje Babeli kuwa ukiwa Katikati ya mataifa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Jinsi gani huo mji uliokuwa nyundo ya dunia nzima unavyoangushwa chini na kuvunjika! Babuloni umekuwa kinyaa miongoni mwa mataifa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Jinsi gani huo mji uliokuwa nyundo ya dunia nzima unavyoangushwa chini na kuvunjika! Babuloni umekuwa kinyaa miongoni mwa mataifa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Jinsi gani huo mji uliokuwa nyundo ya dunia nzima unavyoangushwa chini na kuvunjika! Babuloni umekuwa kinyaa miongoni mwa mataifa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Tazama jinsi nyundo ya dunia yote ilivyovunjika na kuharibika! Tazama jinsi Babeli ilivyokuwa ukiwa miongoni mwa mataifa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Tazama jinsi nyundo ya dunia yote ilivyovunjika na kuharibika! Tazama jinsi Babeli ilivyokuwa ukiwa miongoni mwa mataifa! Tazama sura |