Yeremia 50:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Kuna kishindo cha vita katika nchi, Kishindo cha uharibifu mkuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kelele za vita zinasikika nchini, kuna uharibifu mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kelele za vita zinasikika nchini, kuna uharibifu mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kelele za vita zinasikika nchini, kuna uharibifu mkubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kelele ya vita iko ndani ya nchi, kelele ya maangamizi makuu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kelele ya vita iko ndani ya nchi, kelele ya maangamizi makuu! Tazama sura |