Yeremia 50:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Jipangeni juu ya Babeli pande zote, Ninyi nyote mpindao upinde; Mpigeni, msiuzuie hata mshale mmoja; Kwa maana amemtenda BWANA dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Enyi nyote wapiga mishale stadi, shikeni nafasi zenu kuuzingira mji wa Babuloni; upigeni, msibakize mshale hata mmoja, maana umenikosea mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Enyi nyote wapiga mishale stadi, shikeni nafasi zenu kuuzingira mji wa Babuloni; upigeni, msibakize mshale hata mmoja, maana umenikosea mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Enyi nyote wapiga mishale stadi, shikeni nafasi zenu kuuzingira mji wa Babuloni; upigeni, msibakize mshale hata mmoja, maana umenikosea mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Shikeni nafasi zenu kuzunguka Babeli, enyi nyote mvutao upinde. Mpigeni! Msibakize mshale wowote, kwa kuwa ametenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Shikeni nafasi zenu kuzunguka Babeli, enyi nyote mvutao upinde. Mpigeni! Msibakize mshale wowote, kwa kuwa ametenda dhambi dhidi ya bwana. Tazama sura |