Yeremia 50:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 mama yenu atatahayarika sana; yeye aliyewazaa atafadhaika; tazama, atakuwa taifa lililo nyuma katika mataifa yote, atakuwa jangwa, nchi ya ukame, na nyika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 nchi yenu ya kuzaliwa itaaibishwa; hiyo nchi mama yenu itafedheheshwa. Lo! Babuloni itakuwa ya mwisho kati ya mataifa, itakuwa nyika kame na jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 nchi yenu ya kuzaliwa itaaibishwa; hiyo nchi mama yenu itafedheheshwa. Lo! Babuloni itakuwa ya mwisho kati ya mataifa, itakuwa nyika kame na jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 nchi yenu ya kuzaliwa itaaibishwa; hiyo nchi mama yenu itafedheheshwa. Lo! Babuloni itakuwa ya mwisho kati ya mataifa, itakuwa nyika kame na jangwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 mama yako ataaibika mno, yeye aliyekuzaa atatahayari. Atakuwa mdogo kuliko mataifa mengine yote, atakuwa nyika, nchi kame na jangwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 mama yako ataaibika mno, yeye aliyekuzaa atatahayari. Atakuwa mdogo kuliko mataifa mengine yote, atakuwa nyika, nchi kame na jangwa. Tazama sura |